FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Bado haijaanza.wameenda kuvaa nguo
Duuu!! Ngoja nikalale maana Hawa Jamaa sijui wanadhani kila mtu anawaza tamasha, imagine Kuna watu wametoka Dom,mbeya,Moro walijua mechi kufikia saa tatu itakuwa imeisha wapande chombo zao warudi kwao kesho wawahi kazini, lakini mpaka sasa hakuna lolote.
Mtu kama huyo usipokuja next time utamlaumu?
Inabidi tuondokane na haya mambo let's be professional guys
 
Watao tusua dakika 90 bila kusinzia ujue hao ni walinzi
 
Red Arrows wanatusaidia kupiga.

Then tunakuja kupiga kwenye mshono 8.8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…