FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Nasikia Manara katumwa Benki Ili kipiindi cha Pili Aende Benchi la Ufundi la Arrow Agawe Pesa Ili washinde...

Nimempigia Simu Kagame sasa hivi atutumie ULINZI kwenye Timu yetu na Kamati ya Ufundi maana tunakoelekea Tutalipwa pesa hapa maaba kuna meseji ya Manara nimepokea eti anataka kutupa Milion 10 kila mchezaji
🤣🤣🤣🤣
 
Halafu kuna watu wamemdanganya makamu wa Rais kuwa Yanga ina kikosi cha kubeba klabu bingwa Afrika ..
 
Mpira ungeisha tu kuna haja gani ya kucheza dakika zote wakati kilichokuwa kinatafutwa kimepatikana?

Lengo ilikuwa ni kumpata mshindi, na mshindi tayari, sasa huku kote tumefikaje?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…