FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Yaani huyu Pacome yaani hili bonanza anacheza hivi, halafu bado kuna Dube......... nyie.Jana kuna watu hata ukiwauliza walikiwa wanacheza mfumo gani hawajui,muunganiko hamna....... tupo hapa.Wanatupigia kelele humu ,nyie jidanganyeni na hili bonanza maana sijui safari nani atapewa mzigo wa lawama wa kuitwa duka.
Mbona hueleweki.....jitahidi kuandika sentensi zenye kuleta maana....
 
Kwa bahati nzur furaha ya baadhi ya watu inaenda kuisha Leo .
Yajayo itakua ni lawama tu.
 
Back
Top Bottom