FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Mzee Tupatupa yupo pia benchi la ufundi upande wa wasanii

#Nyie Hamuogopi?
 
Hawa watu hawajui wasanii gani wa kuwachanganya kwenye timu ili kufurahisha. Maana hapa hatuangalii vipaji Wala magoli. Akina Mr. Pimbi, yule mdudu wa Arusha aitwaye kenyunyu wangeinekana uwanjani tungeburudika
 
Mechi saa ngap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…