FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Anaandika JEMEDAL SAID MTIPA

AMETAMBULISHWA HADI AMISA MOBETO, ILA ALİ KAMWE AAAH..!

Ni mimi ndo macho yangu ya Kimakonde MABOVU au ndiyo ukweli? Sijamuona msemaji wa vilabu Afrika kwenye shughuli nzima ya GONGOWAZI leo, nini kimemkuta Ally Kamwe? Wapi amefichwa na kwanini? Afisa habari wa klabu wapi ataonekana kama sio kwenye shughuli nyeti ya klabu?

Zembwela na Kitenge wamekodiwa na Haji ametokea ndani akiwa mfanyakazi ambaye yuko chini ya Kamwe, inakuaje mkuu wa idara hayupo shughulini? Nimeambiwa yeye Ali Kamwe ndo alikuwa kinara wa maandalizi na hadi mpango wa kuweka BIG SCREEN pale Uhuru uliratibiwa na yeye, sawa basi hakupewa nafasi ya kushika mic, ndo hata kutambua mchango wake tu imekua shida? Sijasikia akitajwa popote pamoja na mlolongo mreeefu wa shughuli iliyokuwa na ratiba rasmi na ile alokuja nayo KALIKONJI, hata kutamka jina la Kamwe imekuwa nongwa nayo? Yani ametambulishwa mpaka AMISA MOBETO ila Ali Kamwe aaaah!

Tulisema mwanzo kwamba viongozi wa klabu wasikwepe jukumu lao la kutamka kuhusu idara ya habari ya klabu, nani kiongozi na nani kazi yake nini, najaribu kumfikiria Ali Kamwe huko aliko anajisikiaje? Ameshatoka kwenye OB VAN ya AzamTV alikokuwa ana angalia matukio au bado ana angalia mechi huko huko? Wacha tuendelee kupiga mtori, nyama ziko chini kabisaaaa!

BIN KAZUMARI MTIPA (The voice of the voiceless)
Screenshot_20240804-222235.png
 
Baleke hana bahati na Mpira wa Tz.

Tatizo halikuwa Simba.

He is Old and Gone.

Na Utopolo sio wavumilivu kabisa
Tatizo la Baleke halioo kwenye umri.

Ni anajisahau sana.

Kuna mtu aliwahi kuzungumza kuhusu nature ya watu wakongo nilimuelewa sana.

Wakongo ni wachezaji wazuri ila ni watu wenye kupenda sifa, sasa uoe muda ambao anajitafuta ndio muda mzuri wa kumtumia.

Akishaanza tu kuimbwa ndio mwanzo wa kujisahau sasa muda huo huo unatakiwa kumuweka kwenye shelvu umpige mnada, ukichelewa hapo ndio yatakuja kukukuta yale aliyoyoyafanya akiwa Simba kipindi cha ukingoni wa mkataba wake.
 
Time will tell haishi mpaka iishee
tunasubiri sec half.
Jamaa aliyekuja kumkumbuka Yusuf Manji kasema msiwe na shaka, shughuli ni kipindi cha pili na ushindi ni kwa ajili ya Yusuf Manji.
 
Back
Top Bottom