Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
inasemekana Yanga wameomba msamaha kwa simba ya Zambia😭😭
Tuko Live
Tuko Live
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi.Tatizo la Baleke halioo kwenye umri.
Ni anajisahau sana.
Kuna mtu aliwahi kuzungumza kuhusu nature ya watu wakongo nilimuelewa sana.
Wakongo ni wachezaji wazuri ila ni watu wenye kupenda sifa, sasa uoe muda ambao anajitafuta ndio muda mzuri wa kumtumia.
Akishaanza tu kuimbwa ndio mwanzo wa kujisahau sasa muda huo huo unatakiwa kumuweka kwenye shelvu umpige mnada, ukichelewa hapo ndio yatakuja kukukuta yale aliyoyoyafanya akiwa Simba kipindi cha ukingoni wa mkataba wake.
InongaTatizo la Baleke halioo kwenye umri.

Ushindi upo dedicated kwa Yusuf Manji.inasemekana Yanga wameomba msamaha kwa simba ya Zambia😭😭
Tuko Live
Wana mawazo kweliTupo vyede! Tar 8 tutawanyoosha wanyonge wetu
Tar 8 mjiandae kisaikolojiaKiujumla tunawasoma tu
Hamna kitu mdau.Tar 8 mjiandae kisaikolojia
Si bora Isidingo. Lile la jana lilikua kama tamthilia ya Jumba la DhahabuTamasha la leo ni kama tamthilia ya Isidingo
Uzuri ni kesho kutwa tuHamna kitu mdau.
Mech itakuw sangap?Uzuri ni kesho kutwa tu
Asante sana,, kumbe nafana na mdingiManji kamrithisha mtoto wake pesa na uhandsome..!