FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Tatizo la Baleke halioo kwenye umri.

Ni anajisahau sana.

Kuna mtu aliwahi kuzungumza kuhusu nature ya watu wakongo nilimuelewa sana.

Wakongo ni wachezaji wazuri ila ni watu wenye kupenda sifa, sasa uoe muda ambao anajitafuta ndio muda mzuri wa kumtumia.

Akishaanza tu kuimbwa ndio mwanzo wa kujisahau sasa muda huo huo unatakiwa kumuweka kwenye shelvu umpige mnada, ukichelewa hapo ndio yatakuja kukukuta yale aliyoyoyafanya akiwa Simba kipindi cha ukingoni wa mkataba wake.
Uko sahihi.
 
Hawa jamaa ni wapuuzi sana ....hapo kuna waajiriwa na wapo uwanjani unamalizaje tamasha usiku wa manane?na watu wafike makwao mda gani?
 
Tatizo la Baleke halioo kwenye umri.

Ni anajisahau sana.

Kuna mtu aliwahi kuzungumza kuhusu nature ya watu wakongo nilimuelewa sana.

Wakongo ni wachezaji wazuri ila ni watu wenye kupenda sifa, sasa uoe muda ambao anajitafuta ndio muda mzuri wa kumtumia.

Akishaanza tu kuimbwa ndio mwanzo wa kujisahau sasa muda huo huo unatakiwa kumuweka kwenye shelvu umpige mnada, ukichelewa hapo ndio yatakuja kukukuta yale aliyoyoyafanya akiwa Simba kipindi cha ukingoni wa mkataba wake.
Inonga
 
Back
Top Bottom