FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

BAADA YA KIKAO KIZITO NA WANA SIMBA WENZANGU TUMEKUBALIANA KWAMBA..
MATOKEO YATAKAYOTUMIKA NI MATOKEO YA KIPINDI CHA KWANZA TU..
MATOKEO YA KIPINDI CHA PILI HATUTA YAKUBALI KWA SABABU YAMEGUBIKWA NA UHARAMU MWINGI..

ASANTENI

MIMI MZEE MAGOMA (mwenyekiti wa Kamati)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…