FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Tunakesha
Mwambie kuna after party Tips labda ndio maana wameamua kuivuta.
Screenshot_20240804_224036_Instagram.jpg
 
BAADA YA KIKAO KIZITO NA WANA SIMBA WENZANGU TUMEKUBALIANA KWAMBA..
MATOKEO YATAKAYOTUMIKA NI MATOKEO YA KIPINDI CHA KWANZA TU..
MATOKEO YA KIPINDI CHA PILI HATUTA YAKUBALI KWA SABABU YAMEGUBIKWA NA UHARAMU MWINGI..

ASANTENI

MIMI MZEE MAGOMA (mwenyekiti wa Kamati)
 
Back
Top Bottom