Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Nyie misukule ya jiiyesiemu kuna la kujifunza toka kwenu??Njoo yanga ushibe toka uko kiriba tumbo kitazid ikon
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie misukule ya jiiyesiemu kuna la kujifunza toka kwenu??Njoo yanga ushibe toka uko kiriba tumbo kitazid ikon
Ahahahaha jipe moyo utashinda
Kwaza kanyweee togwaaaNyie misukule ya jiiyesiemu kuna la kujifunza toka kwenu??
😄😄😄 Tarehe 8 sio mbaliAhahahaha jipe moyo utashinda
Naomba hela yangu............😄😄😄 Tarehe 8 sio mbali
Miki haipo sawaHuyu dj anafanya vitu vizuri sana anaupiga mwingi sana 💛💚💚💚💚💚 DJ kutoka yellow national 💚💛
Jana walikuwa wanatumia viredio vya kuconnect na BluetoothHii sound iliyofungwa Leo sio ya mtumba kama ya jana ya jana ilikuwa fake kama pesa chafu sikia sound hiyo masikini kutoka kusini mwa jangwa la Sahara 💛💚💚💛💚💚💚💛💛💛💛💛💛💛😎😎😎😎
Kama hujui vitu ni bora ukakaa kimya kuliki kuharisha hapa kunukisha jukwaa. Au nyie ndio mmeanza kushabikia mpira kipindi cha BabraKabla ya utaratibu wa supu hamjawahi kujaza uwanja.
Naunga mkono hoja wale ni wakoloni wa sandaJana walikuwa wanatumia viredio vya kuconnect na Bluetooth
Makosa ya kariakoo hayaMiki haipo sawa
Shida njaaaaNaunga mkono hoja wale ni wakoloni wa sanda
Kabisa upo sahihi mwingine mpaka bando akopeShida njaaaa