FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Kikosi kipana huja ja madhara yake. Kocha inatakiwa aweke full mkoko uliokuwa unashinda na kutwaa ubingwa. Hii rotation itamsumbua sana siku za usoni. Kama unataka ushindi never change a winning team
Kuwa mpole wewe, mechi ya majaribio hii.
 
nilisemaje hahahaha bongo bwana yaani shida tupu.
alafu huyu refa fala sana, hii ni friendly game huna sababu ya kutoa kadi nyekundu ni suala la kumuita kocha unamwambia bwana mtoe huyu mcheza kabla mie sijampa kadi nyekundu.
 
Refa utulinde bhana
IMG_2667.jpeg
 
Yanga yangu mbona inataka kunipa ugonjwa wa moyo. Nitaficha wapi uso wangu baada ya gemu!
 
nilisemaje hahahaha bongo bwana yaani shida tupu.
alafu huyu refa fala sana, hii ni friendly game huna sababu ya kutoa kadi nyekundu ni suala la kumuita kocha unamwambia bwana mtoe huyu mcheza kabla mie sijampa kadi nyekundu.
Mkuu unajua mpira?
Hizi timu zote zipo club bingwa
Huko hakuna ujinga
Ni heri wakajua hili mapema
 
Kikosi kipana huja ja madhara yake. Kocha inatakiwa aweke full mkoko uliokuwa unashinda na kutwaa ubingwa. Hii rotation itamsumbua sana siku za usoni. Kama unataka ushindi never change a winning team
Kuwa mpole wewe, mechi ya majaribio hii.
 
nilisemaje hahahaha bongo bwana yaani shida tupu.
alafu huyu refa fala sana, hii ni friendly game huna sababu ya kutoa kadi nyekundu ni suala la kumuita kocha unamwambia bwana mtoe huyu mcheza kabla mie sijampa kadi nyekundu.
Mkuu hii kadi nyekundu hata wewe inakuumiza? Kwa hiyo mnataka double standard
 
Back
Top Bottom