FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

Nasikia nje ya Uwanja mageti yamefungwa.
Kuna fujo sana.

Huku ndani ya Uwanja nafasi bado ni nyingi sana.
Kweupe kabisa.

TFF na Bodi ya Ligi utaratibu wakuingia Taifa leo umekuwa wa hovyo sana.
Unasemaje wa hovyo wakati huna ushahidi kama kuna hiyo jam huko nje?
 
Benchika afanye nn....kama nafasi kama ile KANOUTE
 
Yanga anashinda kwa goli moja bila leo na goli lenyewe litakuwa limejaa utata mwingi lkn ndo ivyo tena ushindi utakuwa kwao.Save this comment
 
Nimeshangazwa kuona channel moja tu ya azam ndio iliyo dhamana kuonyesha mechi hii. Yaani utadhani vingamuzi tumepewa bure
Yaani we acha Tuu, Nikakuta TBC wanafanya Uchambuzi, Tena wamesema Mubadhara, Si nikasema mambo si ndio hayo, Hee inakaribia Muda wa Mpira kuanza, Wanasema Tumefikia Ukingoni mwa Kipindi chetu. Nimechoka,
 
Back
Top Bottom