Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa MkuuTutatoka jioni baada ya matokeo
Nipo stadium...
Hajishiki mtu
Nimeshangazwa kuona channel moja tu ya azam ndio iliyo dhamana kuonyesha mechi hii. Yaani utadhani vingamuzi tumepewa bureHoma ya Kariakoo Derby inazidi kupanda, siku ya kumaliza ubishi imewadia. Leo jioni kuanzia saa moja miamba hii itakutana kutafuta point tatu muhimu kuendeleza marathon za Ligi Kuu ya NBC.
Yanga akiwa mwenyeji anaingia akijiamini huku ana kumbukumbu nzuri ya mchezo wa mwisho aliomchapa mtani wake bado 5-1.
Je, unadhani nani ataibuka mbabe wa mbungi hii?
Kaa namni kwenye uzi huu kupata kila kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo.
Let's Goooooo!!
Mbungi linanukia wanangu...
View attachment 2969256
Kikosi cha Yanga kinachoanza
View attachment 2969261
Kikosi cha Simba kinachoanza
Santo saaaa💚💚💛💛🕺🕺🕺!Nipo stadium...