FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

Screenshot_20240420-163739.jpg
Screenshot_20240420-163732.jpg
 
Leo ndio ile siku mzigo wa matusi, lawama na kelele anaenda kuubeba mzeewa watu Mangungu, Don Miguel Gamondi amesema mkija kwa kulipa kisasi linaweza kuwakuta jambo ambalo hamtakaa msahau maisha yenu yote. 😂
 
Kulipa kisasi ni kushinda. Simba ikishinda imelipa kisasi, ikifungwa haijalipa kisasi, ikidroo haijalipa kisasi.
 
Back
Top Bottom