FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

Mliambiwa wenye mioyo migumu ndiyo waende ueanjani, sasa wewe imekuwaje umeenda? Au unafuatilia ukiwa kibandani?
 
Homa ya Kariakoo Derby inazidi kupanda, siku ya kumaliza ubishi imewadia. Leo jioni kuanzia saa moja miamba hii itakutana kutafuta point tatu muhimu kuendeleza marathon za Ligi Kuu ya NBC.

Yanga akiwa mwenyeji anaingia akijiamini huku ana kumbukumbu nzuri ya mchezo wa mwisho aliomchapa mtani wake bado 5-1.

Je, unadhani nani ataibuka mbabe wa mbungi hii?

Kaa namni kwenye uzi huu kupata kila kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo.

Let's Goooooo!!
Weka Kikosi
 
Back
Top Bottom