FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

Ili simba ishinde leo inabidi aanze John Boko.
 
Viva Young Africans [emoji172][emoji617][emoji169]

Niwatakie mchezo mzuri, twende tukawaheshimu wapinzani wetu tucheze Soka safi uwanjani, tuzingatie maelekezo ya kocha vizuri na mbinu zake (Gamondi Ball)

Tuachane na Propaganda za mitandaoni zitatutoa mchezoni, soka linachezwa uwanjani

Wakijichanganya wakaingia kwenye mfumo, basi maelekezo ni kama tulivyokubaliana kwenye kikao chetu..

Kuku wetu aliekula mchele asubuhi, jioni tutamla na Wali!

#DaimaMbeleNyumaMwiko
#KariakooDerby
#MimiNiYanga
#Mwananchi
#NbcPremierLeague23/24
Safiiiiiiiiii.......
 
Back
Top Bottom