Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
All the best 🦁🦁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SIMBA GUVU MOYA 👹Homa ya Kariakoo Derby inazidi kupanda, siku ya kumaliza ubishi imewadia. Leo jioni kuanzia saa moja miamba hii itakutana kutafuta point tatu muhimu kuendeleza marathon za Ligi Kuu ya NBC.
Yanga akiwa mwenyeji anaingia akijiamini huku ana kumbukumbu nzuri ya mchezo wa mwisho aliomchapa mtani wake bado 5-1.
Je, unadhani nani ataibuka mbabe wa mbungi hii?
Kaa namni kwenye uzi huu kupata kila kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo.
Let's Goooooo!!
SahihiSimba sc atashinda njaa kwa kishindo
Ni upuuzi tuNaona mwana ulikua umeandika uzi ukawa umetega ukisubiri muda usome 00:00 ndiyo uka broadcast.
Kundi la maprofesa waliitwa kupanda ndege.Homa ya Kariakoo Derby inazidi kupanda, siku ya kumaliza ubishi imewadia. Leo jioni kuanzia saa moja miamba hii itakutana kutafuta point tatu muhimu kuendeleza marathon za Ligi Kuu ya NBC.
Yanga akiwa mwenyeji anaingia akijiamini huku ana kumbukumbu nzuri ya mchezo wa mwisho aliomchapa mtani wake bado 5-1.
Je, unadhani nani ataibuka mbabe wa mbungi hii?
Kaa namni kwenye uzi huu kupata kila kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo.
Let's Goooooo!!
ushakuwa mmbea we Dada siku hizi...Siku ya mbivu na mbichi kujulikana, mechi yenye siasa nyingi kuliko zote kuwahi kutokea nje ya uwanja.
Imefikia stage siko excited na matokeo ya uwanjani, bali matokeo ya uwanjani yataamua nini nje ya uwanja?
Tusubiri tuone.
🤣🤣Kundi la maprofesa waliitwa kupanda ndege.
Milango ilipofungwa maprofesa wote walifahamishwa kuwa ndege hiyo imetengenezwa na wanafunzi wao.
Maprofesa wote wakakimbilia kwenye mlango wa ndege wakiomba kushuka.
Isipokuwa profesa mmoja tu alibaki ameketi kwa ujasiri na utulivu.
Kuna mtu alimuuliza, "kwanini hauhangaiki kushuka kwenye ndege kama wenzako?"
Profesa akajibu kwa kujiamini,
"Ni wanafunzi wangu waliunda hii ndege".
Akaulizwa tena, "Kwahiyo una uhakika uliwafundisha vizuri? Profesa alijibu;
"Kama ni wanafunzi wangu, Nina uhakika haitopaa.."
🤗🤗
Simba mpaka Sasa kabong'oa
Siku ya mbivu na mbichi kujulikana, mechi yenye siasa nyingi kuliko zote kuwahi kutokea nje ya uwanja.
Imefikia stage siko excited na matokeo ya uwanjani, bali matokeo ya uwanjani yataamua nini nje ya uwanja?
Tusubiri tuone.