FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

Homa ya Kariakoo Derby inazidi kupanda, siku ya kumaliza ubishi imewadia. Leo jioni kuanzia saa moja miamba hii itakutana kutafuta point tatu muhimu kuendeleza marathon za Ligi Kuu ya NBC.

Yanga akiwa mwenyeji anaingia akijiamini huku ana kumbukumbu nzuri ya mchezo wa mwisho aliomchapa mtani wake bado 5-1.

Je, unadhani nani ataibuka mbabe wa mbungi hii?

Kaa namni kwenye uzi huu kupata kila kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo.

Let's Goooooo!!
Haya! pressure imekuwa optimum sasa
 
Mechi inaanza saa 11 jioni na sio saa moja usiku.. REKEBISHA
 
Simba ni mbovu kwa yanga lkn mechi itakua na siasa sana, kutokana na matokeo yaliyopita kwa simba 1-5 na mtani wake na mpinzan wake mkuu, nbc pl yanga, wanasimba wanataka kulipa kisasi, kwa ushindi tu wowote, licha ya hivyo itakua mechi ya kibabe sana, na kwa utabili waangu maajabu yapo tena na leo mechi hii, haijulikani itakua kwa nani?
Uchambuzi bora wa soka la watani wa jadi leo 20/04/2024 ukiwa huna hata chembe ya mahaba wala ushabiki maandazi "non alignment"

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Hali ya hewa sio nzuri, hakuna mvua, inatakiwa inyeshe muda huu ili wakati wa mechi hali iwe nzuri
 
Back
Top Bottom