FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

Mashabiki wa 5imba washapata kiwewe hata uwanjani hawajajaa 🀠

πŸ™‡πŸ™‡πŸ™‡πŸ™‡πŸ™‡

Cc Smart911
 
Wakifungwa naomba mni-tag wadau, nilipo sina access ya kushuhudia, natanguliza shukrani Sana
 
Naangalia mpira bar moja hapa
Nyum yang limekaa jamaa wa simba
Nsipo mpa kifuti huyuπŸ˜…
 
Back
Top Bottom