FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

Hayo maneno ya mkosaji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umemuona ki master ilivyofungua kufuli la Simba mapema kabisaaa.!!! Chwaaah cha fasta fasta dadeq [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenzake Mokoena anacheza na experance leo.
 
La pili. Ila ni kama la offside.
 
Guedeeeeeeeeeee🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🕺🕺🕺
 
Back
Top Bottom