FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hainistuiii uduguu, niko buzzy na match za Semi final CAFCL.
Hayo maneno ya mkosaji 🤣🤣🤣🤣
Umemuona ki master ilivyofungua kufuli la Simba mapema kabisaaa.!!! Chwaaah cha fasta fasta dadeq 🤣🤣🤣
 
Simba wanajitahidi sana kwenye counter tatizo wanabanwa sana hatua za kumalizia
 
Dk ya 35. Bado tumezidiwa na vyura.
 
Na mbaya zaid Yanga akirudigi second half ni mwengine kabisa
 
Kwa kasi hii ya yellow, kipindi cha pili kuna kaai nyekundu
 
Back
Top Bottom