FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

nyau
Fixed games,soka la Tanzania halitaendelea kabisa
hahahaha kwa yanga kila mechi ni fixed maana yanayo tegemewa hayatokei

hukawii sema hadi mamelod wali fix draw zote mbili
 
Simba akijichanganyq asawazishe anapigwa tano tena
 
Fullback right ya simba TENA kuna SHIDA
 
Back
Top Bottom