FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

SIMBA GUVU MOYA πŸ‘Ή
 
Kundi la maprofesa waliitwa kupanda ndege.
Milango ilipofungwa maprofesa wote walifahamishwa kuwa ndege hiyo imetengenezwa na wanafunzi wao.
Maprofesa wote wakakimbilia kwenye mlango wa ndege wakiomba kushuka.
Isipokuwa profesa mmoja tu alibaki ameketi kwa ujasiri na utulivu.

Kuna mtu alimuuliza, "kwanini hauhangaiki kushuka kwenye ndege kama wenzako?"
Profesa akajibu kwa kujiamini,
"Ni wanafunzi wangu waliunda hii ndege".
Akaulizwa tena, "Kwahiyo una uhakika uliwafundisha vizuri? Profesa alijibu;
"Kama ni wanafunzi wangu, Nina uhakika haitopaa.."
πŸ€—πŸ€—

Simba mpaka Sasa kabong'oa
 
Siku ya mbivu na mbichi kujulikana, mechi yenye siasa nyingi kuliko zote kuwahi kutokea nje ya uwanja.

Imefikia stage siko excited na matokeo ya uwanjani, bali matokeo ya uwanjani yataamua nini nje ya uwanja?
Tusubiri tuone.
ushakuwa mmbea we Dada siku hizi...
 
🀣🀣
 
Siku ya mbivu na mbichi kujulikana, mechi yenye siasa nyingi kuliko zote kuwahi kutokea nje ya uwanja.

Imefikia stage siko excited na matokeo ya uwanjani, bali matokeo ya uwanjani yataamua nini nje ya uwanja?
Tusubiri tuone.

We nifah.

Mbona unayajua mambo mengi ya simba na yanga.

Salute.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…