FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

Simba wameshapoteana, zile nafasi za dakik 10 za Mwanzo walichezea, ngumu sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtaniii kwa leo, hata cna mshtukoo.
Yaan sina habari kabisaaa, hizo dawa zitunze hadi mwakaniii.
Kwa jinsi unavyohaha dawa ni muhimu Mtani. 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…