Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Ntakubonda 🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] badooo huja force furahaa udugu, tulizanaaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntakubonda 🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] badooo huja force furahaa udugu, tulizanaaa.
Inaonekana siyo mkuu.Goli La pili ni Offside... Marefarii ni shida.
Kazi ya auchoGOLI LA PILI NI GOLI LA KIAKILI SANAAA
ASEEE
Sawa kaka,Ahahahahah kaka angalia usitoneshe mguu, kasirika kwa taratibu plz 😂😂
Jamaa waliwasiliana kama kila mtu yupo akilin mwa mwenzakeKazi ya aucho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakati huo ilikua bado.Hebu Acha Kusema Uongo Unaangalia Wakati Mechi Tayari Imeisha[emoji23]
Nani na nanikuna watoto pendwa wa Benchika siwaoni humu kabisa leo, ni hawana bundle ama wapo pahala mtandao hakuna..??😂😂😂
Piga kipyengaGoli La pili ni Offside... Marefarii ni shida.
Hizo chacheKuna jamaa hapa kaongeza chupa 5 za beer na konyagi