FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

1000059669.png
 
Hili goli la Guede ni la akili sana kati yake na Aucho aisee.

Imebidi nirudie kuliangalia sio offside ni uzembe wa mabeki wa simba.

Jamaa anamzunguka beki nyuma mbele katulia tu, Che fondo alimuachia kipa apambane mwenyewe.
 
Back
Top Bottom