Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Kwa kweeeli. 😂Zanzibar Tulienda Kupunguza Idadi Za Magoli Kutoka 20 Hadi Saba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweeeli. 😂Zanzibar Tulienda Kupunguza Idadi Za Magoli Kutoka 20 Hadi Saba.
Hebu Acha Kusema Uongo Unaangalia Wakati Mechi Tayari Imeisha😂Niko vyediiii mnooo!!
Natazama Al ahly na Tp Mazembe,
Nikisubiri Masandawana na Experance.
Sawaa ebu mechi iishe tuuOa tu mkuu,si ulichagua mwenyewe kuwa shabiki wa timu mbovu😀😀
Kwa jinsi unavyohaha dawa ni muhimu Mtani. 🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtaniii kwa leo, hata cna mshtukoo.
Yaan sina habari kabisaaa, hizo dawa zitunze hadi mwakaniii.
AahaaaHii mechi Nina uhakika angekuwepo Kibu Dii Yanga angekufa mapema sana
Mimi Ni Simba Ila Hii Yanga Inaweza Kutuua Sisi Mashabiki Wa SimbaKwa kweeeli. 😂
Na harusi yako lazima niwepo ili nikucheke kidogoSawaa ebu mechi iishe tuu
Sawa timu nzuri ya wavunja mikeka😂😂
Kwani hayupo?Hii mechi Nina uhakika angekuwepo Kibu Dii Yanga angekufa mapema sana
Kuna jamaa alisema derby ikiisha Mashabiki wa Yanga watoke uwanjani. Kuna derby ya mashabiki wa simba na uongozi itafataLeo wakitoka hapa kila kiporo Cha mwamedi wakimalizie leoleo. Watu timu hamna wanajifanya wehu.
Tutawaonyesha kwa nn mamelodi kakataa goli ili aende nusu fainali.
Acha bhasi 🤭SAFI SANA
Ni zawadi nzuri kwako inabebeka na kupokelewa mkuu