FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

Yanga toeni huyo kiboko Mzize, huyo kifaru hajui hata kutao pasi, toaaaa huyo kibokooo
Inasikitisha sana, huyu kijana anapata nafasi kwenye timu kama hii, lakini yupo yupo tu. Sidhani kama season ijayo Yanga wanaweza kumvumlia. Anaweza pita njia zile za vijana wa kitanzania wanaosajiriwa timu hizi. Japo yeye amepewa nafasi ya kutosha tofauti na wenzake.
 
Kikanuni timu ikikimbia uwanjani, timu pinzani itapewa goli 3 na points 3 za ushindi, tukiona mambo yamezidi kuwa mazito nadhani tutumie mapema hii kanuni kama faida, bora tuandikiwe tumepigwa goli 3 kuliko kuliko 5 zingine.

★Si ni bora kuonekana Muoga kuliko Komando na Ukaliwa ausio.. 🥹
 
Wakati naanza kuangalia mpira kuna jamaa alikua kakaa nyum yangu anakelele balaa
Ile Joyce kaumi kainuka kasema oyooooo😅😅


Sahiz anamwambia mwenzie sab aingie benchika

Nye mnauwavmashabaiki
 
Back
Top Bottom