FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hapa ni nyie na sisi, hao wezi wa magoli hatuna time nao.!!
Vipi lkn uko tyr kupokea six o’clock leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulishindwa nawe kuiba? Poleeee uduguu.
Leo hata 30 fungeni, hatuna habari kabisaaa.
 
Penati ya mchongo,,goli la pili offside
Ile penati hata iwe ligi ya uingereza, au CAF champions league au UEFA refa anaweka. Yaani unaacha kumlaumu beki kiazi unamlaumu refa. Mchezaji unayechezea timu kubwa kama Simba kucheza faulo ya wazi vile. Yaani kaenda kubana miguu ya Azizi Ki hata mpira hakuugusa. Mjinga sana dogo yule
 
Screenshot_20240420-175439.jpg
 
💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛
 
Back
Top Bottom