FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

tunaomba refa na kamisaa waruhusu inonga arudi uwanjani (sheria ivunjwe tu) maana wamesha anza lalamika wanafungwa kwa kuwa inonga hayupo
 
Wenzetu wanapewa magoli ya offside
Nilikuwa nina mashaka nalo lakini Azam wamerudia mara mbili mbili wakati mpira unapigwa Guede hakuna kwenye eneo la kuotea. Ni goli halali kabisa
 
Back
Top Bottom