FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

Wawaingize Luic na wale mastriker nao wajaribu hakuna cha kupoteza.
 
Wanathimba 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣!

Cc Smart911
 

Attachments

  • Screenshot_20240414-094415_121246~2.jpg
    Screenshot_20240414-094415_121246~2.jpg
    58.8 KB · Views: 1
Dooh nimeona uchambuzi TBC nikajua wanaonesha mechi nashangaa muda umefika hola, sijui kwanini DSTV hawaoneshi mechi za ligi ya bongo, imebidi niangalie zangu tu mechi ya Mazembe na Ahly

Hauko peke yako ndugu yangu,
Link ya live kuangalia mpira... tupo nje ya nchi wengine.. app ya Azam unasumbua
Tumieni link please
kuna huduma inaitwa sports hd naitumia hapa, ni elf 2 kwa mwezi ila kwa leo wameweka bure

 
Wewe dawa yako kukukatia tiketi ya kwenda kumsalimia shangazi maporini, ukirudi akili itakukaa vizuri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2222]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu, afu mbona hamuongezii mabao menginee? Ongezeni bas, maumivu yapoe poe.

Tena afunge Aziz Kii
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu, afu mbona hamuongezii mabao menginee? Ongezeni bas, maumivu yapoe poe.

Tena afunge Aziz Kii
Tunawapa muda mrudishe nguvu kwanza!!🀣🀣🀣🀣
 
Inauma kwa kweli sema ndo hivyo tena tufanye nini. Kinachonikera zaidi majirani zangu ni Mautopolo mtupu halafu naona kama yamefanya makusudi kuja kuangalia mechi ghetton wakati mwenyewe nilikuwa naangalia tamthilia ya Jumong😑
 
Back
Top Bottom