FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

Gamondi nae ametuzingua sana leo, wachezaji wetu wengi sana wanacheza chini ya kiwango na hakuna sub ya maana iliyofanyika.
 
Sub ya Mzize imempa ahueni Shabalala, Msonda sio Dribbler mzuri.
 
Yanga wanacheza kwa kurelax hawana mpango wa kukamia kuongeza goli

Simba wanacheza kwa kukamia sana wapate angalau sare
 
Back
Top Bottom