The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Foot ball mzee Wacha uoneHaiwezekani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Foot ball mzee Wacha uoneHaiwezekani
Hapo sawa.Mimi namuoa mkuu[emoji1787][emoji1787]
Nime change setting ndo maana text zangu zipo kushoto na zake kulia
Msimu huu tumeunga unga mno.Simba haina teamwork,morali ya wachezaji ipo chini,na hii staili ya uchezaji ni slow sana ime prove failure
Tumeunga sanaMsimu huu tumeunga unga mno.
Mradi tu ujiteteee🤣🤣🤣Migoli ya marefa ndo imewabeba leo
Sio kwamba ni zile ela za Mo ulizosema?Naona sub ya Yao imetugharimu, mashambulizi yamekuwa mengi kwetu.
Sana yaniNaona sub ya Yao imetugharimu, mashambulizi yamekuwa mengi kwetu.
Marefa wamefanya niniIko juu sbb ya Marefa
Na ikikesha haivumi
Kwa hiyo Yao akiondoka na Yanga inakufaNaona sub ya Yao imetugharimu, mashambulizi yamekuwa mengi kwetu.
Wachezaji wanacheza ujinga MkuuKocha wa Simba kawehukaa [emoji1787]