Edo kissy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 2,802
- 7,551
Hakuna kitu ila ijipange upya kwa msimu ujao.Dah! Babu!
Nguvu zimeniishia ngoja nile kwanza!
Ila ujue nini! Simba hakuna timu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu ila ijipange upya kwa msimu ujao.Dah! Babu!
Nguvu zimeniishia ngoja nile kwanza!
Ila ujue nini! Simba hakuna timu.
Kimbia mwanangu, hao sio watuHawa sio aiseee hawanywi wanamimina tuvitu vitu tumboni
Umeniita nyau, nimekuita Chura, unahama sasa kutoka kwenye utani wa jadi unaenda kwenye mihemko. Tuishie hapa.Sibishani na mapunga Mimi
hawamwogopi JUMANNE MURILOmashabiki wa simba walisema wakifungwa hatoki mtu, je hajatoka mtu kwel, au ilikuwa mkwara mbuz
Mechi kumi za wapi? Bado mechi nane tu kwa Yanga na mechi 9 kwa Simba. Na msimamo huu hapaMuda Bado sana
Bado mechi 10
Msijisahaulishe
Nishaivisha, wahi kabla hakijapoa, hapa nagonga[emoji485]kusindikiza ushindiNgoja nije nikute hakijaiva [emoji881]
" Mzee babako"
Alisikika shabiki wa simba aliepagawa.
Nakutania kaka😂
IinawezekanaBasi ubongo wako una ram ndogo sana[emoji23]
Tulisha achana naloLile la mamelody mbona hadi leo hamjalipigia kipenga
Naunga mkono hojaTatizo lilianzia hapo kwa misso misondo
Umekupiga bao mbili huoHuo mwiko apo nyuma Leo tunautoa kudadeki zenu
Wamepulizia mpaka dawa kwenye chumba cha kubadilishia nguo wapinzani wao, lakini wapi!Kumbe walienda Zanzibar kupunguza idadi ya magoli? Mganga wenu mzuri sana
NB: Sema nini Kale kamsemo kanachosema Siku ya Derby timu dhaifu inaonyesha kiwango kizuri bado kanafanya kazi? [emoji23]