FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

Stimu za kuangalia mechi yenyewe zimekata, yani kocha anapanga kikosi kama cha majaribio.

Usajili wote ule walioufanya lakini eti kuna kyombo na ottara the rest ni wale wale losers waliotutia aibu kule Mwanza

Mpaka najiuliza hiki kikosi ni pendekezo la kocha au mganga?
Naona surprises
 
Huyu Aucho huwa ni short tempered sana, kila derby ni lazima afanye faulo za kijinga.
 
Mechi yeyote ambayo Sakho ancheza, timu pinzani ikiwa na mchezaji anaitwa Aziz Ki lazima Sakho afunge
 
Back
Top Bottom