Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Pivot ya leo ni ya hovyo.Mkude amebaki na uchawi tu hakuna mpira hapoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pivot ya leo ni ya hovyo.Mkude amebaki na uchawi tu hakuna mpira hapoo
Enheee vipi?
Kagongesha mwamba nini?
Au alichomesha beno kaokoa?
Kikosi kile kile kimefikia hatua hii?Hilo lilikuwa goli kabisa, tumeshindwa kuwa makini hapo mbele.
Wewe hapo!Hivi Leo nani yuko nyumbani!???
Nadhani hiyo itakuwa ni kazi ya Matola.Naona kocha wa Simba SC ameidharau hii game, wacha nami niidharau pia.
Ameamua kuwafanya na wachezaji wengine wajiamini pia kwa kuwaanzisha leo, jamaa zangu naona full mkoko!.