FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

Mijezi Ya mijumba inavaliwa Basi tu...ni kama kumeza Dawa chungu....Kwa kuwa unaumwa ...La sivyo umezi..!
 
Huyu Israel ni mshenzi sana aisee, sijui kwanini huwa anaependa kurudisha mipira nyuma hata bila kukabwa.

Hapa tunakufa 5 lazima.
 
Kila shambulio la hatari ambalo linakuja Simba Sc linaanzia kwa back pass za Mwenda, dogo anawaza kurudisha nyuma tu.
 
Back
Top Bottom