FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

kwa ichi kikosi Simba anakifa asubuhi tuView attachment 2323095
Screenshot_20220813-183304.png

Huyu kocha anatujaribu kubabake, yani hakuna mtu ambae yuko positive na hicho kikosi
 
Eng.Hersi azuie hizi tabia za kijinga kwenye klabu anayoiongoza.
Nilichokiona kwa Hersi nimegundua ni mtu ambaye anatakiwa awe chini ya mtu yani awe anaongozwa bado hajawa matured kwenye uongozi na kimaamuzi

Hili swala la kumpa cheo kwasababu kachangia kuifanya Yanga ichukue ubingwa linaweza kuja kui cost timu baadaye
 
Back
Top Bottom