FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

Kikosi cha Yanga vs Simba
39.Diarra
21.Djuma
15.Kibwana
5.Job
4.Bangala
8.Aucho
18.Sure boy
6.Feisal.
9.Mayele
10.Aziz Ki
17.Farid
Sub
Mshery
Lomalisa
Mwamnyeto
Bacca
Mauya
Moloko
Morisson
Makambo
 
Kikosi cha Yanga vs Simba
39.Diarra
21.Djuma
15.Kibwana
5.Job
4.Bangala
8.Aucho
18.Sure boy
6.Feisal.
9.Mayele
10.Aziz Ki
17.Farid
Sub
Mshery
Lomalisa
Mwamnyeto
Bacca
Mauya
Moloko
Morisson
Makambo
Kikosi kiko poa. Morrison na Makambo waingie baadaye kwa lengo la kubadilisha mchezo.

Muhimu tu Bangala asijisahau sana kupanda kupanda mbele kwenda kushambulia. Maana na Juma Shabani naye ana mafhaifu hayo hayo.
 
Watani wakishinda hii mechi tusilaumu wamebahatisha ,wana Morison ,Aziz K ,Bangala ,Aucho, Djuma ,Feisal ,Mayele ,unaona wamekamilika halafu unawapanga Kanuti na Israel Mwenda,... Rubbish ,Kipindi cha kwanza striker ni Kibu tu
 
Back
Top Bottom