Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Naunga mkono utabiri huuMagoli 0-2 , Simba anashinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono utabiri huuMagoli 0-2 , Simba anashinda
Ninachoona wachezaji wa maana kina Inonga ,Ottara, Sakho ,Chama watakuja kuchoka mapema ,imagine plan ya kocha baadaye Chama atoke aingie mwingineWewe Mzungu wewe shauri yako unatujaribu unachokitafuta utakipata..
Kikosi cha hovyo Sana dadeki!
Yanga wamekuwa wakitufunga kutoka na squad yetuMkuu mechi za Derby hasa hii ya kwetu hapa bongo huwa zina matokeo ya kushangaza sana. Hicho kikosi una dharau kina weza kukupa ushindi ila Mungu Atusaidie YANGA tushinde Aamiiin
Wabongo bana. Team ikishinda still mtashangilia.View attachment 2323111
Huyu kocha anatujaribu kubabake, yani hakuna mtu ambae yuko positive na hicho kikosi
Hao aliopanga sio wachezaji wa Simba?Wewe Mzungu wewe shauri yako unatujaribu unachokitafuta utakipata..
Kikosi cha hovyo Sana dadeki!
Kwa hiki kikosi hamna kituNaunga mkono utabiri huu
😆😆😂Ukute kikosi cha Simba ni masharti ya mganga ili washinde.
Acha tu Mkuu, bila wachezaji kujitoa Mara mbili ni ngumu simba kushinda, na yanga wakifungwa na hicho kikosi wafukuze kochaHao aliopanga sio wachezaji wa Simba?
Tuwekeane dau kijana, mie nitakupa fisi mmoja toka kambini, vipi wewe utanipa nn Uto wakipigwa mbili kavu?Kwa hiki kikosi hamna kitu
Stimu za kuangalia mechi yenyewe zimekata, yani kocha anapanga kikosi kama cha majaribio.Watani wakishinda hii mechi tusilaumu wamebahatisha ,wana Morison ,Aziz K ,Bangala ,Aucho, Djuma ,Feisal ,Mayele ,unaona wamekamilika halafu unawapanga Kanuti na Israel Mwenda,... Rubbish ,Kipindi cha kwanza striker ni Kibu tu
Ww mrembo mambo ? Na huku upo ? Vipi ww yanga au simba ?Derby ya leo goal ni 1 tyuuh.
umependa hayo matege?Jamani mwenye connectio ya huyu mrembo aliyebeba ngao....hilo smile lake mie hoii huku
Wee wanawake wenye utege wanakuwaga watamu sanaumependa hayo matege?
Mashabiki wa simba wana munkari sana.Wabongo bana. Team ikishinda still mtashangilia.
Tanzania kila mtu kocha.
labda kiini macho,mashabiki tunaona kikosi kibovu,benchi la ufundi linaona limeweka full mkoko,derby inamambo😅😅😅😅Stimu za kuangalia mechi yenyewe zimekata, yani kocha anapanga kikosi kama cha majaribio.
Usajili wote ule walioufanya lakini eti kuna kyombo na ottara the rest ni wale wale losers waliotutia aibu kule Mwanza
Mpaka najiuliza hiki kikosi ni pendekezo la kocha au mganga?