FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

Mkuu mechi za Derby hasa hii ya kwetu hapa bongo huwa zina matokeo ya kushangaza sana. Hicho kikosi una dharau kina weza kukupa ushindi ila Mungu Atusaidie YANGA tushinde Aamiiin
Yanga wamekuwa wakitufunga kutoka na squad yetu
 
Watani wakishinda hii mechi tusilaumu wamebahatisha ,wana Morison ,Aziz K ,Bangala ,Aucho, Djuma ,Feisal ,Mayele ,unaona wamekamilika halafu unawapanga Kanuti na Israel Mwenda,... Rubbish ,Kipindi cha kwanza striker ni Kibu tu
Stimu za kuangalia mechi yenyewe zimekata, yani kocha anapanga kikosi kama cha majaribio.

Usajili wote ule walioufanya lakini eti kuna kyombo na ottara the rest ni wale wale losers waliotutia aibu kule Mwanza

Mpaka najiuliza hiki kikosi ni pendekezo la kocha au mganga?
 
labda kiini macho,mashabiki tunaona kikosi kibovu,benchi la ufundi linaona limeweka full mkoko,derby inamambo😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom