KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
Hakuna derb ya magoli mengi hivo unadhan ni mapinduzi cup?Full time
Yanga 1-3 Simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna derb ya magoli mengi hivo unadhan ni mapinduzi cup?Full time
Yanga 1-3 Simba
2012 yanga alikula mkono goli tano bila,mwaka 2020 FA Cup yanga huyo huyo alikula Goli 4Hakuna derb ya magoli mengi hivo unadhan ni mapinduzi cup?
Leo yupo okwa,sakho,kibu dee bila kumsahau mlete mzunguuuuKwani sopu yupo na leo?
Yanga alipigwa 4 kwenye FA miaka mitatu iliyopita na kwenye ligi amewahi kupigwa 5 na hata 6. Yanaweza kujirudia.Hakuna derb ya magoli mengi hivo unadhan ni mapinduzi cup?
Kiingilio ni 5,000 tu. Tiketi waweza kukata kwa Tigopesa au Mpesa ila inakupa uwe na NCARD.Kingiilio bei gani na tiketi zinapatikana wapi!
Historia inakupinga. Labda useme hakuna derb ambayo mchezaji mwenye asili ya kizungu alifunga ili ikitokea ndo historia ianzie hapa.Hakuna derb ya magoli mengi hivo unadhan ni mapinduzi cup?
Shangaa nawee, simba anaipenda na kuikubali mnooo. Ila anajizina data.Sasa Mkuu unakuwaje Simba Nyamaume halafu unashangilia Uto unalikosea jina heshima
Jiandae kuitwa mbwaAkishinda simba niiteni mbwa.....ntakuwa palee mwisho kabisa.
Na wewe jiandae kuitwa nani maana yanga kushinda ni lazima au simba afungwe.Jiandae kuitwa mbwa
Saa 1 usiku.Sangapi mechi?
Mkuu si umesema mwenyewe simba akishinda tukuite mbwa! Mbona tena unateseka 😀😀😀. Mimi nasubiri dk 90 sina matokeo.Na wewe jiandae kuitwa nani maana yanga kushinda ni lazima au simba afungwe.
NoMkuu si umesema mwenyewe simba akishinda tukuite mbwa! Mbona tena unateseka 😀😀😀. Mimi nasubiri dk 90 sina matokeo.
😂😂😂Simba umeyakanyagamdogo wangu[emoji1787]View attachment 2322842