FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

Simba hatutaweza kunywa maji mjini.
Mayele kamaliza mchezo.
Kitakachofuata ni kumpa heshima yake Mayele kuliko kuendelea kumbeza.

Msimu uliopita wa ngao ya hisani ni Mayele huyo huyo aliyetumaliza, leo tena Mayele yule yule karejea kutupiga.

Kama ni mimba, basi ya leo ni mapacha, tena mapacha wanaofanana.
 
Back
Top Bottom