FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji849][emoji1787][emoji3][emoji23][emoji28][emoji23]
 
Simba hatutaweza kunywa maji mjini.
Mayele kamaliza mchezo.
Kitakachofuata ni kumpa heshima yake Mayele kuliko kuendelea kumbeza.

Msimu uliopita wa ngao ya hisani ni Mayele huyo huyo aliyetumaliza, leo tena Mayele yule yule karejea kutupiga.

Kama ni mimba, basi ya leo ni mapacha, tena mapacha wanaofanana.
Asante sana mwanasimba mzalendo kwa kukubali kupachikwa mimba pacha
 
Sielewi kivipi kocha hakuiona combination safi ya Okra, Okwa, Chama na Sakho. Unaenda kumtoa Chama ambaye alikuwa kwenye form nzuri kabisa. Fukuza Matola haraka Sana. Hii haikuwa game ya kupoteza kabisa. Matola achunguzwe.
Hata mimi nashangaa kwanini alimtoa chama wakati first half alikuwa vizuri..ujinga sana.
 
Back
Top Bottom