FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

Poleni sana watani. Hakikabwakati fulani mpira una matokeo ya kikatili sana. Poleni sana akina Scars, Kalpana, cocastic Proved, GENTAMYCINE my dear friend hata kama uko kifungoni! Na wengineo wengi.

Tukutane kwenye ligi. Hakika timu zote mbili zimecheza vizuri ndani ya dk 90! Imekuwa tu bahati kwa Yanga kushinda hii mechi. Ila hata nyinyi pia mlikuwa na nafasi ya kushinda.
 
Dada em achana na hizi habari utaja kufa uache watoto kisa mpira mama. Binafsi kuanzia leo sina timu nshaona ntaumwa siku si zangu.
Watoto gani sasa?

Siwezi kuachana na kitu nachokipenda mzee

Hata mie miaka miwili nyuma nilisema sina team lakini maumivu ya kufungwa na furaha ya kushinda team yangu yako pale pale
 
Back
Top Bottom