FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

Simba hakuna kocha hapo. Timu nzuri ila kocha andazi yaani hata hajui wapi pamepwaya. Watulwtee kocha bwana hata gomez tu
 
Jamani Simba imeniumiza Sana ila tumpe muda kocha ila inauma japo ndio mchezo ila Kama shabiki wa Simba na Man u ndio wenge linapoanzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…