CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Tulikuambia lazima mpasuke, hamna timu ya kushindana na YANGAUzembe mkubwa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulikuambia lazima mpasuke, hamna timu ya kushindana na YANGAUzembe mkubwa sana
mwisho wa mechi nani kapotezwa??Utopolo wamepoteana..
Ya mkudeWeeeeeee..!!! uthimthingidhie kipa..!!! Yote mawili ya mabeki
Hivi viongozi hawa mafundi bomba wa rangi nyeupe huwa wanawatoa wapi?? Au ndio yale mambo ya tenpercent. kocha anabahatisha mpira kama kilimo cha nyanyaNa dalili ya kwamba hamna kitu mle angalia mzungu aliyemleta. Tizama hata sub zake! Hajui hata mtu kama chama anafanya nini uwanjani kuunganisha timu. Kiufupi simba mwaka huu tena imepigwa na kitu kizito.
Amecheza na ametoa 'assist' ya goli la kwanza! Haya tuambie Inonga Verane hakucheza leo??Kwani Azizi Ki hajacheza?
Thanx mtani
Simba mbovu acha kujifariji.Phiri hakuwepo Kabisa. So Far Simba Ina Timu nzuri sanaa.
Okrah, Okwa Na Chama Wako moto sanaa.. Leo sijaona tatizo pale Katikati ila Mbele mtu kama Phiri Anahitajika sana kwasababu Ya Nguvu na Akili ya Mpira tuombe Derby ijayo awe Vizuri tuoneshe ubora wetu
So Far Simba Ya Msimu huu ni nzuri sanaa… Matola Tuu ana Mshauri vibaya Zoran
Kungekua na VAR red card ingehusika leoIla huyu Inonga aache sifa za kijinga anaweza kutucost game kubwa kama zile za CAF.
Binafsi nalaumu sisi mashabiki, tunashangilia mchezaji akifanya mambo ya kipuuzi yasiyo na faida kwa timu.
Za ndani kabisaAnaeshinda hii Ngao ya jamii ndiye atakeshinda kombe la ligi msimu huu.
Huu sio utabiri, ni fact.
Hakua anamkaba ila alikua achezesha sana pale kat, huyo mayele hakua anafua dafu.Kwani Chama alikuwa anamkaba Mayele? Mlongo nielimishe hapo..!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya mekahi mlongoChoniii namyakuuu..!!
Lazima nimekai..!!! Ligoli la kavele lipeti pagatipagati pa magulu ga Inonga..!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya mekahi mlongo
Acha kujutoa ufahamu CHAMA alipoteana kipindi cha pili na ametoka wakt wako 1-1 acha kujitoa ufahamu hapa.Kipindi cha kwanza Simba inaongoza goli moja na ball possession, Kocha akaona msinitanie...akamtoa Chama nje basi roho yake ikawa kwatu.
Tatizo sio rangi, kwani rangi hiyo mmeanza nayo leo? Hiyo si mnatumia siku zote? Kilichowaponza ni jeuri zenu, kwa leo mlipopata goli kipindi cha kwanza mlitakiwa muwe wapole, sasa nyie kelele kibao, sisi wengine hatujazoea kelele, ndo ikabidi tupange mikakati ya ushindi ili kukata ngebe. Labda nikushauri kitu kimoja; ukitangulia na baiskeli la miti, usifikiri utawahi kufika, kuna phoenix nyuma yako inakuja. Halafu, ukimwona mtu kabeba begi, yawezekana anasindikiza tu, anayesafiri yuko nyuma!Jamani Simba imeniumiza Sana ila tumpe muda kocha ila inauma japo ndio mchezo ila Kama shabiki wa Simba na Man u ndio wenge linapoanzia
Ya simba..!!! 😂 😂 😂 Ok, yote ya Mkude? Mkude ni wa Majimaji?Ya mkude
Ni kweli Inonga alistahili nyekundu straight....Kungekua na VAR red card ingehusika leo