FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

IMG_20220731_203845_944.jpg
 
Nisemosa comments zote hongera sana wana Yanga wenzangu tuna timu nzuri, ila tuna kocha mzuri sana sana Mungu atujalie tunaweza kufanya vizuri huko juu, nilisikiliza uchambuzi wa Ali kabwe aseé yule dogo nisupa sana alichokisema ndicho kocha alifanya sec 2 tulikuwa bora sana.

Nakumbuka maneno ya Nabi, alimwambia kocha wa simba karibu sana bingo.
Hii mechi kocha nabi kaimaliza yeye amini hivyo.

Ukiona nimekupa like ujue umeongea mawe bravo mwananchi..
 
Ushauri wangu kwa watu wa Simba mjifunze kupunguza kelele, mnaboa sana.

Game ya leo sikutaka kuangalia nyumbani nikajichanganya mtaani kuangalia game, kwakweli watu wa Simba hawana ustaarabu halafu wanajiamini kwa timu ambayo tukiweka ushabiki pembeni haina quality kama Yanga.

Pili mpira ni mpaka refa amalize mechi, watu wa Simba wengi hawalijuhi hili.

Niliokuwa naangalia nao mechi niliwaambia ogopa Yanga akitangulia kukufunga hurudishi, Ila Yanga ukiwapiga wanarudisha na wataongeza, leo naonekana kama mnajimu wakati sina unajimu wowote fact ziko wazi.

Leo mji upo kimya wapiga kelele wanalala na viatu, watu wa Simba badilikeni.
 
Simba kama ni muziki ungekuwa Singeli.
 
Kocha siyo mzuri yes, lakini usajili mzuri sana, mpira una matokeo ya kufungwa, kushinda ama Kudrow, bahati mbaya Yanguwanatubahatisha sana siku hizi, lakini ndiyo mpira, kocha mpya simkubali, lakini mechi ya leo Matola ndiyo amezingua nawaambia. so far timu ni nzuri sana, Chama mpira anaocheza umepitwa na wakati anapoozesha sana mpira
 
Mliposhinda kwenye bonanza hizi ngonjera hatukuziona,nyuzi zilijaa tele hapa JF mkisifu na kuabudu kana kwamba mmeotea dhahabu uchochoroni!.

Huu ni mwanzo tu Makolo nyie,mtapata taabu sana![emoji2][emoji2]
🤣🤣🤣🤣🤣waambie
 
Hivi viongozi hawa mafundi bomba wa rangi nyeupe huwa wanawatoa wapi?? Au ndio yale mambo ya tenpercent. kocha anabahatisha mpira kama kilimo cha nyanya
🤣🤣🤣🤣 Na huyu nae mtasema shahidi wa jehova 🤣🤣🤣🤣
 
Ushauri wangu kwa watu wa Simba mjifunze kupunguza kelele, mnaboa sana.

Game ya leo sikutaka kuangalia nyumbani nikajichanganya mtaani kuangalia game, kwakweli watu wa Simba hawana ustaarabu halafu wanajiamini kwa timu ambayo tukiweka ushabiki pembeni haina quality kama Yanga.

Pili mpira ni mpaka refa amalize mechi, watu wa Simba wengi hawalijuhi hili.

Niliokuwa naangalia nao mechi niliwaambia ogopa Yanga akitangulia kukufunga hurudishi, Ila Yanga ukiwapiga wanarudisha na wataongeza, leo naonekana kama mnajimu wakati sina unajimu wowote fact ziko wazi.

Leo mji upo kimya wapiga kelele wanalala na viatu, watu wa Simba badilikeni.
Acha uongo wako nawee, mbna kwa vipers hamkurudisha???

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au game ndo mnaanza kucheza leo.
Mnajimu wa mchongo
 
Back
Top Bottom