Night Watch
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 2,092
- 2,126
Kocha siyo mzuri yes, lakini usajili mzuri sana, mpira una matokeo ya kufungwa, kushinda ama Kudrow, bahati mbaya Yanguwanatubahatisha sana siku hizi, lakini ndiyo mpira, kocha mpya simkubali, lakini mechi ya leo Matola ndiyo amezingua nawaambia. so far timu ni nzuri sana, Chama mpira anaocheza umepitwa na wakati anapoozesha sana mpira
Kwamba Yanga wanawabahatisha kila siku? kwanini isifikie hatua mkubali Yanga wamewazidi na mjue mapungufu yenu mfanyie kazi na sio kukaa kujiona bora huku mkikutana mnapigwa