FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

Sasa kama yule alikwenda dubai ndio katandikwa tobo lile.

Vipi sisi wa Mpitimbi huku?
FB_IMG_16604188969609833.jpg
 
Ni kweli Inonga alistahili nyekundu straight....

Simba imepoteza ila bado ina timu nzuri sana tu sema sub za kocha zilitugharimu.

Tutaonana kwenye ligi inshaallah na michuano ya CAF tutarudi na kasi ya kutisha.
Mtarudi kwani mlikuwa mnaenda wapi?
 
Tatizo kubwa simba ni yule mwanamke ndio anauza timu asipotoka yule utaumia kila siku huwez ona kwa macho
Tuache kumsingizia mwanamke wawatu.Tumefungwa kwa kuzidiwa mbinu.Wakati kocha wa yanga anampeleka aziz ki katikati uku akiingiza winga zakukimbiza sisi uku tukatoa viungo wawili wazoefu wa derby kwa mkupuo bila kujua lile lilikua kosa lakiufundi.Sasa hapo mechi imeuzwa wapi?
 
Ni kweli Inonga alistahili nyekundu straight....

Simba imepoteza ila bado ina timu nzuri sana tu sema sub za kocha zilitugharimu.

Tutaonana kwenye ligi inshaallah na michuano ya CAF tutarudi na kasi ya kutisha.
Na sako si alichezewa rafu mbaya pia na kibwana iliyostahili kadi au ndo mahaba niue
 
MULE HAKUNA KOCHA AISEE, YANI HAKUNA KABISA HAKUNAA KOCHAAAAAAAAAAAAAAAAA KOCHA LA KYOMBO NA MWENDA SI UJINGA HUO.
BAHATI NZURI WANASIMBA WENGI WALIVYOONA KIKOSI WALISHAJUA KIPI KITAFUATA
Kwanza yule mzee hafai hata kuitwa jina kocha, yule babu ni fundi Bomba.Nchi za wababe kama waarabu yule analambwa kichuri kabla ya kutolewa mbio Nchini mithili ya paka shume
 
Nisemosa comments zote hongera sana wana Yanga wenzangu tuna timu nzuri, ila tuna kocha mzuri sana sana Mungu atujalie tunaweza kufanya vizuri huko juu, nilisikiliza uchambuzi wa Ali kabwe aseé yule dogo nisupa sana alichokisema ndicho kocha alifanya sec 2 tulikuwa bora sana.

Nakumbuka maneno ya Nabi, alimwambia kocha wa simba karibu sana bongo.
 
Tuache kumsingizia mwanamke wawatu.Tumefungwa kwa kuzidiwa mbinu.Wakati kocha wa yanga anampeleka aziz ki katikati uku akiingiza winga zakukimbiza sisi uku tukatoa viungo wawili wazoefu wa derby kwa mkupuo bila kujua lile lilikua kosa lakiufundi.Sasa hapo mechi imeuzwa wapi?
Wabongo ujuaji mwingi sana, mechi kufungwa au kushinda ni kawaida,sasa siiooo amekosea wapi.......watu hao ndiyo fuata upepo
 
Lazima nimekai..!!! Ligoli la kavele lipeti pagatipagati pa magulu ga Inonga..!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una manyakq veve, haya ugona bwina.
Chilau hinu.
 
Back
Top Bottom